Buenos Aires

Buenos Aires

Buenos Aires (kihisp.: "upepo mzuri") ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Argentina katika Amerika Kusini mwenye wakazi 2,776,234. Mji uko kando la Río de la Plata kwenye pwani la mashariki ya Amerika Kusini kwa 34°36′S na 58°23′W. Magharibi ya Buenos Aires zinanaza tambarare zenye rutba za pampa.