Barcelona

Barcelona

Barcelona ni mji uliopo nchini Hispania. Ni mji mkuu wa jimbo la Catalonia, ambayo ni sehemu tajiri zaidi ya Hispania. Barcelona ipo katika pwani ya Bahari ya Mediteranea.